Mwenyekiti wa ODM na mbunge mteule John Mbadi, yupo tayari kuchukua nafasi ya waziri wa Hazina

  • | NTV Video
    6,633 views

    Mwenyekiti wa Chama Cha (ODM) na mbunge mteule John Mbadi,ambaye amekuwa akikosoa vikali serikali kwa kuwatoza Wakenya ushuru, yupo tayari kuchukua nafasi ya Waziri wa Hazina. Kumekuwa na maoni mseto yakitolewa iwapo Mbadi anafaa kuteuliwa ama asiteuliwe katika hati nyeti zaidi nchini, usiku wa kuamkia leo

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya