Mzee Shayo: Je siti ya mbele ya gari anapanda mama au Mke

  • | BBC Swahili
    251 views
    Mzee Shayo ni mmoja wa wachekeshaji maarufu nchini Tanzania ambaye mtindo wake wa uchekeshaji na uvaaji umekuwa kivutio kwa wapenzi wa vichekesho. Hapa anajibu maswali matano chap chap! Msikilize #bbcswahili #tanzania #comedy Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw