Mzozo katika ya Familia ya Kennedy Onyango jinsi mazishi yake yatatendeka wikendi hii

  • | NTV Video
    626 views

    Mzozo umetokea katika Familia ya Kennedy Onyango ambaye alipigwa risasi wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha huko Ongata Rongai. Mzozo huo unahusu mahalai pa kumzika kijana huyo wa miaka 12. Mwanamume anayedai kuwa baba mzazi wa marehemu anataka kusitisha mazishi ambayo yanapangwa wikendi hii. Denis okinyi anasema, ana haki ya kumzika mwanawe huko Suba huku mamake akidai kennedy atazikwa kisiwani Rusinga.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya