Naibu Gachagua ashikilia kuwa eneo la mlima kenya halitoki serikalini

  • | K24 Video
    773 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua ameshikilia kuwa eneo la mlima kenya halitoki serikalini na kuwa litasimama na rais William Ruto hadi mwisho. gachagua ambaye alizungumza katika kaunti ya kirinyaga akiwa na rasi william ruto katika ziara ya maendeleo aliwakashifu viongozi kutoka mlimani wanaoligawanya eneo hilo. Gachagua amesema hayo wakati kukiwa na tetesi za kuwa kuna wabunge ambao wameanzisha mchakato wa kumuondoa mamlakani.