Naibu Katibu Mkuu wa UN aeleza hatua za dharura zinazochukuliwa DRC

  • | VOA Swahili
    127 views
    Umoja wa Mataifa umesema unafanya juhudi kuhakikisha msaada unawafikia watu waliokoseshwa makazi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na vita vinavyoendelea. Mapigano yanaendelea kati ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na serikali ya Rwanda. Ungana na mwandishi wa VOA Mary Mgawe akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa UN, anayezungumzia misaada ya dharura Joyce Msuya akiwa New York. Endelea kusikiliza ... #un #naibu #katibumkuu #misaada #dharura #newyork #marekani #drc #vita #m23 #voa #voaswahili #wanawake