- 6,563 viewsDuration: 1:25Naibu Kinara wa chama cha Jubilee Dkt. Fred Okeng'o Matiang'i amelalamikia madai ya wapiga kura kuhongwa na viongozi wa kisiasa wa walio serikalini, anaodai wanatumia pesa za umma na magari ya serikali katika kampeni za uchaguzi mdogo wa tarehe 27.