Naibu rais Gachagua asimama kidete kuhusu ugavi wa rasilmali

  • | KBC Video
    292 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema wadhifa alio nao serikalini haumzuii kutoa maoni. Akihutubia waliohudhuria makala ya 60 ya kuadhimisha shirika la usimamizi wa dawa nchini, Gachagua alisema anajivunia msimamo wake na ataendelea kuunga mkono umoja wa eneo la mlima Kenya pamoja na kupigania kauli ya mgao wa raslimali kulingana na idadi ya wananchi bila kuionea fedheha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive