Naibu rais Kindiki asema usawa utazingatiwa

  • | Citizen TV
    682 views

    Naibu wa Rais Kithure Kindiki amesema serkali itaendelea kuwekeza katika miradi mbali mbali kote nchini bila ubaguzi wa jinsi maeneo mbali mbali yalivyopiga kura katika uchaguzi uliopita na wala hamna eneo lolote litakalotengwa kimaendeleo. Akisistiza kuwa serkali inayoongozwa na rais William Ruto ishasuluhisha changamoto zilizoachwa na serkali iliyotangulia katika kipindi cha miaka miwili.