Naibu rais Kithure Kindiki aongoza mkutano wa IBEC

  • | Citizen TV
    691 views

    Ni afueni kwa maelfu ya wanafunzi wanaotegemea ufadhili wa karo kutoka serikali za kaunti baada ya magavana kukubaliana na serkali kuu kuhusu utata huu. Magavana wametakiwa kuzingatia sheria hata wanapoendesha mikakati yao ya kutoa basari. Makubaliano haya yamefanyika katika mkutano wa 26 wa bajeti na uchumi ulioongozwa kwa mara ya kwanza na Naibu rais Profesa Kithure Kindiki,