Kindiki aagiza kutatuliwa kwa changamoto za kisera na usimamizi wa uchumi wa Dongo Kundu

  • | Citizen TV
    808 views

    Naibu Wa Rais Profesa Kithure Kindiki Ameagiza Kutatuliwa Kwa Changamoto Za Kisera, Usimamizi Na Miundomsingi Zinazochelewesha Utekelezaji Wa Ujenzi Wa Eneo Maalum La Kupanua Uchumi Dongo Kundu, Kaunti Ya Mombasa.