Namibia yapata rais mwanamke, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    434 views
    Netumbo Nandi-Ndaitwah ameapishwa rasmi kama rais wa Namibia. Nandi-Ndaitwa mwenye umri wa miaka 72 amekuwa rais wa kwanza mwanamke wa taifa hilo linaloadhimisha miaka 35 ya uhuru.