Skip to main content
Skip to main content

Narok yazindua mpango wa chanjo kwa ng’ombe milioni 1.5

  • | KTN News
    131 views
    Duration: 1:51
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube –Idara ya Mifugo katika Kaunti ya Narok inalenga kutoa chanjo kwa zaidi ya ng’ombe milioni 1.5 kupitia mpango wa kitaifa wa chanjo ya mifugo. Zoezi hili linanuia kulinda mifugo dhidi ya magonjwa hatari, kuongeza uzalishaji wa mazao ya mifugo, na kuimarisha kipato cha wakulima na wafugaji katika kaunti hiyo. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews