NCPD imetoa uhamasisho kwa wakaazi wa Bungoma kuhusu sera mpya ya idadi ya watu

  • | Citizen TV
    123 views

    Baraza la kitaifa la idadi kuhusu watu na maendeleo (NCPD) imetoa uhamasisho kwa wakazi katika kaunti ya Bungoma kuhusu sera mpya ya idadi ya watu inayolenga kutoa mwelekeo kuhusu matumizi ya rasilimali humu nchini.