Ndege zaanguka katika mazoezi.

  • | BBC Swahili
    7,294 views
    Ndege mbili za timu ya maonyesho ya Ufaransa ya Patrouille de France zimeanguka katika mazoezi. Marubani watatu wa ndege hizo mbili za Alpha Jet walitolewa wakiwa hai. Ndege hizo mbili zilikuwa zikishiriki katika mazoezi karibu na kambi ya Air Base 113 huko Saint-Dizier. #bbcswahili #ufaransa #ajaliyandege Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw