Ndung'u Nga'nga anatumia mchezo wa Tae Kwondo kuokoa vijana kutoka kwa uhalifu

  • | Citizen TV
    740 views

    Mchezo wa Tae Kwondo unaendelea kukua kote duniani. Hali hii ilimchochea mwelekezi wa tae kwondo Ndung'u Nga'nga kutumia tajriba yake kujaribu kubadilisha taswira ya mtaa wa kariobangi hapa nairobi kwa kuwafunza vijana mchezo huo.