Ng’ombe wawili walioibiwa wapatikana Kikuyu

  • | KBC Video
    87 views

    Maafisa wa polisi huko Kikuyu, katika kaunti ya Kiambu wamemkamata mtu mmoja kwa kusafirisha ng’ombe wawili wanaoshukiwa kuibwa kutoka kijiji cha Eka tano katika kata ya Kerwa. Mshukiwa huyo alikuwa amewaweka ng’ombe hao wawili wa maziwa katika gari aina ya Toyota Voxy, mtindo ambao maafisa wamesema umepata umaarufu ili kuepusha kuibua shaka kwa maafisa. Maafisa hao wanashuku kwamba ng’ombe hao walinuiwa kuuzwa kwenye kichinjio cha eneo la Dagoretti katika kaunti ya Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive