'Niliambiwa kuna mtu nilimkataa akanitupia Saratani'

  • | BBC Swahili
    5,158 views
    Annah Kilawe akiwa na umri wa miaka 17, alipata maradhi ya saratani inayotajwa kuwa nadra kutokea ambayo inayoshambulia tishu laini za mwili ijulikanayo kama Rhabdomyosarcoma. Annah ni nyota wa mitandao ya kijamii, akitumia jukwaa lake kuhamasisha, kupinga unyanyapaa dhidi ya ulemavu na kuelimisha kuhusu saratani. Je, aliwezaje kubadili changamoto kuwa nguvu mpya? Regina Mziwanda anazuyngumza naye Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw