'Nililala na kuamka nikaamua naacha kuimba'

  • | BBC Swahili
    705 views
    Mwimbaji nguli wa nyimbo za Taarabu kutoka Tanzania, Mzee Yusuf maarufu kama 'Mfalme wa Taarabu' amezungumza na mtangazaji wa BBC Regina Mziwanda na küelezea masuala mbalimbali kuhusu muziki wa taarabu nchini humo tangu aliporejea tena jukwaani takribani miaka minne iliyopita #bbcswahili #burudani #taarab Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw