NTSA, polisi na kaunti zashirikiana kutoa mafunzo

  • | Citizen TV
    142 views

    Zaidi ya vijana 2000 wanabodaboda kutoka kule Kisii ndio wa hivi punde kunufaika na mpango wa kuwapa ushauri nasaha unaoshirikisha washikadau mbalimbali mbali wakiwemo maafisa wa NTSA, Polisi na serikali ya kaunti