NYOTA WA AFRIKA MASHARIKI: SHOLO MWAMBA

  • | BBC Swahili
    485 views
    SholoMwanba -Seif Mwinyijuma Haji Msanii wa singeli kutoka Tanzania ambaye anatamba kwa nyimbo zake zenye midundo ya kuvutia na kasi' kama una gheto onyesha funguo' na nyingine mbalimbali kama mguu juu Akiwa na ufanisi wa kipekee, Sholo Mwamba ni moja ya majina yanayofanya vizuri katika muziki wa singeli ambayo hivi karibuni umechaguliwa kuwa muziki wa taifa la Tanzania. . Je muziki huu kweli unastahili?