Nyota ya Gavana wa Meru Kawira Mwangaza yazimwa

  • | KBC Video
    1,835 views

    Gavana wa kaunti ya Meru , Kawira Mwangaza ameondolewa mamlakani na mahakama kuu ya Milimani jijini Nairobi. Hii ni baada ya jaji Bahati Mwamuye, kudumisha uamuzi uliotolewa na bunge la seneti ambalo lilikubaliana na kuondolewa afisini kwa gavana huyo na bunge la kaunti ya Meru, kwa madai ya matumizi mabaya ya mamlaka na ukiukaji wa katiba. Gavana huyo sasa anasalia na chaguo la kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo kwenye mahakama ya rufani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive