Nyumba za gharama nafuu I Mahakama yahimizwa kubatilisha sheria

  • | KBC Video
    109 views

    Waliowasilisha malalamishi dhidi ya ada ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu wameitaja kuwa kinyume cha sheria kwani inawazidishia wakenya mzigo na kuwanyima haki ya kuishi maisha yenye hadhi. Waliliambia jopo la majaji watatu wa mahakama kuu kwamba serikali ilitekeleza kwa haraka na kwa lazima sheria hiyo bila kutimiza sharti la kikatiba la kushirikisha umma. Na jinsi mwanahabari wetu Ruth Wamboi anavyotuarifu bunge limeshtumiwa kwa kukiuka jukumu lake kwa kuwanuima wakenya mali kupitia sheria dhalilishi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive