45,812 views
Duration: 7:28
ODM inakabiliwa na hatima isiyo bayana kufuatia kifo cha kinara wao Raila Odinga.
Wachambuzi wanasema Raila Odinga alikuwa mhimili wa ODM.
Sauti yake, na uongozi wake ndivyo vilivyounganisha wanachama.
Makundi matatu yajitokeza, kila moja ladai kuwa na baraka za Raila.
Kundi la kwanza linajumuisha Gladys Wanga, Junet Mohammed na wengine.
Kundi la pili linajumuisha James Orengo, Anyang’ Nyong’o, na Godfrey Osotsi.
Kundi la tatu ni la kizazi kipya likiongozwa na Sifuna na Babu Owino.
#TV47Matukio
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
*About TV47*
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__