- 1,973 viewsDuration: 2:59Chama cha ODM sasa kinaitaka serikali kuharakisha fidia kwa fimilia zilizowapoteza wapendwa wao wakati wa maandamano nchini. Katika hafla ya kumkumbuka Hayati Raila Odinga iliyoandaliwa eneo bunge la awendo, viongozi wa ODM wamesema kuwa japo kuna kesi iliyowasilishwa mahakamani kupinga jopo lilobuniwa na rais William Ruto, mahakama iweke haki ya waathiriwa mbele ili familia hizo zipate fidia kwa haraka