Ogamba: Shilingi 14B za muhula wa kwanza zitatolewa karibuni

  • | KBC Video
    39 views

    Waziri wa Elimu Julius Migos Ogamba amewahakikishia wakuu wa shule za upili na wazazi kwamba Shilingi Bilioni 14 za muhula wa kwanza zilizochelewa kutolewa,zitatolewa hivi karibuni. Akizungumza katika mkutano na wadau wa taasisi za mafunzo ya kiufundi (TVET) mjini Eldoret, Ogamba amewataka wakuu wa shule kutowarudisha wanafunzi nyumbani, kwani juhudi za kutatua suala hilo zinaendelea. Waziri huyo alihakikishia umma kuwa kufikia Septemba, mtindo mpya wa ufadhili wa vyuo vikuu utaanza kutumika na kumaliza changamoto za awali za ufadhili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive