Ongezeko la utovu wa usalama Amos, Nakuru, lavunja amani kijijini

  • | NTV Video
    78 views

    Wakazi wa kijiji cha Amos eneo bunge la Bahati, kaunti ya Nakuru wanalalamikia ongezeko la visa vya utovu wa usalama, kisa cha hivi punde kikiwa cha mtoto wa umri wa miaka miwili kulawitiwa na mtu asiyejulikana mchana peupe.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya