Seneta Gloria Orwoba afurushwa katika bunge la seneti

  • | Citizen TV
    1,949 views

    Seneta maalum Gloria Orwoba amefurushwa katika bunge la seneti leo na kuagizwa kutohudhuria vikao vya bunge la seneti kwa siku 79 na kurejea tena tarehe mosi mwezi mei mwaka huu