Skip to main content
Skip to main content

Palestina yasema iko tayari kwa amani, Israel ikiendeleza mashambulizi Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    13,915 views
    Duration: 28:10
    Rais wa mamlaka ya Palestina, Mahmoud Abbas, amehutubia Umoja wa Mataifa leo kwa njia ya video – baada ya utawala wa Rais Donald Trump kumkatalia visa ya kuingia Marekani. Abbas amesisitiza kuwa yuko tayari kushirikiana na Marekani na mataifa mengine kutekeleza mpango wa amani – lakini ameishutumu serikali ya Israel kwa kutekeleza uhalifu wa kivita. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw