Pandashuka za Chuo cha Moi

  • | Citizen TV
    1,296 views

    Chuo kikuu cha Moi kimekumbwa na msukosuko mwaka huu na kuwekwa kwenye darubini ya ufisadi unaodaiwa kuendelezwa na usimamizi wa chuo hicho. migomo ya wafanyikazi ikilemaza masomo katika chuo hicho huku wahadhiri na wafanyikazi wakidai mishahara. John Wanyama anaangazia pandashuka za chuo hicho ambacho ni chimbuko la vyuo vingine 10 nchini.