PAPA FRANCIS AFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 88

  • | K24 Video
    20 views

    Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88,leo asubuhi. papa alikuwa na changamoto za kiafya hasa matatizo ya kupumua kwa miezi kadhaa siku zake za mwisho, Papa alikuwa katika hospitali moja roma akitibiwa ugonjwa wa pneumonia na maambukizi ya mapafu.