Paul Clement: - 'Mimi uimbaji ulitokea kwenye kutafuta amani, usio kipaji'

  • | BBC Swahili
    406 views
    Paul Clement @ministerpaulclement ni muimbaji wa nyimbo za injili kutoka kutoka Tanzania, amezungumza na @regina_mziwanda masuala mbalimbali katika safari ya maisha yake hadi kufika kuwa muimbijai mahiri wa nyimbo za injili. Kwa urefu zaidi wa mahojiano haya tafadhali tafuta Paul Clement kwenye ukurasa wetu wa Youtube. #bbcswahili #tanzania #nyotawaafrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw