Peter Ngugi ndiye mshindi wa Shabiki Aviator wiki hii

  • | Citizen TV
    402 views

    Wakenya wanaendelea kushinda kupitia Shabiki.com, mshindi wa hivi punde akiwa Peter Ngungi kutoka Kenol, Kaunti ya Murang’a, ambaye amejishindia Ksh. 675,470 kwenye Shabiki Aviator. Ngungi, anapanga kuwekeza ushindi wake kwa busara.