Polisi ajitia kitanzi kaunti ya Kericho

  • | Citizen TV
    1,566 views

    Afisa Mmoja wa polisi anayehudumu katika kituo Cha Sosiot eneo bunge la Bureti kaunti ya Kericho aliaga dunia baada ya kupatikana amejitia kitanzi.