Skip to main content
Skip to main content

Polisi na makanisa waandaa maandamano dhidi kuongezeka kwa visa vya ajali Illasit-Kimana

  • | Citizen TV
    290 views
    Duration: 5:16
    Kuongezeka kwa visa vya ajali kwenye Barabara ya Kutoka Loitokitok hadi Emali kaunti za kajiado na makueni , kumewachochea Maafisa wa Polisi Kwa ushirikiano na Viongozi wa makanisa kuandaa matembezi Kutoka mji wa Ilasiti hadi mji wa Kimana kuhamasisha Umma kuhusu Usalama wa Barabarani.