'Polisi ni wanyama,' mwanafunzi aliyekamatwa wakati wa maandamano na kufungiwa ndani saa 42

  • | NTV Video
    16,951 views

    Maafisa wa polisi wamekosolewa vikali kwa kumteka nyara kijana wa miaka kumi na mitano kwa zaidi ya saa 42 bila kujulikana alipokuwepo. Sasa anasema maafisa wa polisi walimkandamiza akiwa korokoroni.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya