Polisi wa Kenya wapokea mafunzo ya kikazi nchini Haiti

  • | KBC Video
    413 views

    Mafunzo kwa kikosi cha tatu cha maafisa wa polisi wa Kenya waliopelekwa kulinda usalama nchini Haiti yameanza huku kikosi hicho kikijaribu kujiimarisha kushughulikia changamoto za usalama nchini humo ipasavyo. Mkurugenzi wa mafunzo wa kikosi cha kimataifa cha usalama Charles Otieno anasema mafunzo hayo ni muhimu kabla maafisa hao hawajaanza kutekeleza majukumu yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive