Polisi wawahoji wasimamizi na wagonjwa katika hospitali ya Kenyatta

  • | Citizen TV
    1,985 views

    Polisi wamewahoji wahudumu wa afya na wagonjwa katika hospitali ya furaa ya Kenyatta kufuatia kuuwawa kwa mgonjwa aliyekuwa amelezwa ndani ya wodi hospitalini humo hapo jana. Aidha wasimazmisi wa KNH wamehojiwa pia na kuagizwa kutowaruhusu wagonjw akwenda nyumbani kabla ya kuhojiwa na uchunguzi w akamera za cctv kukamilika. Franklin Wallah alizungumza na familia ya Gilbert Kinyua ambayo sasa imejipata na masuali mengui kuliko majibu baada ya kifo cha jamaa yao.