Polisi wawakamata washukiwa wawili wanaohusishwa na wizi katika vituo vya kuuza mafuta Wajir

  • | Citizen TV
    1,458 views

    Polisi Wajir wanawazuilia washukiwa wawili waliokamatwa kuhusiana na visa vya wizi katika vituo vya kuuza mafuta.