Programu ya mtandaoni ya waathiriwa wa afya kiakili yazinduliwa

  • | KBC Video
    5 views

    Wizara ya afya imehimizwa kutenga fedha kushughulikia visa vinavyoongezeka vya maradhi ya akili humu nchini. Kiongozi wa chama cha Democratic Action-Kenya Eugene Wamalwa amesema ongezeko la mgao wa bajeti litahakikisha uhamasishaji wa kutosha na mikakati ifaayo ya kushughulikia visa vya afya ya akili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive