Rai Ruto azidi kupigia debe uhusiano wake na chama cha ODM

  • | K24 Video
    507 views

    Rais William Ruto amezidi kupigia debe uhusiano wake na chama cha ODM kinachoongozwa na Raila Odinga akidai kuwa ni njia moja ya kumaliza siasa za ukabila nchini. Akizungumuza alipozuru maeneo ya Mathare na Ruaraka kaunti ya Nairobi Ruto amesema kuwa wakati wa kuliunganisha taifa umewadia na amewataka wakenya kuunga mkono hatua zake. Rais Ruto ameendelea kutoa ahadi zaidi kwa wakenya ikiwa pamoja na chapati milioni moja kwa siku kwa wanafunzi wa Nairobi.