Raila asema chaguzi za kitaifa hazijakuwa na uwazi

  • | Citizen TV
    4,600 views

    Waziri mkuu wa zamani, Raila Odinga, sasa anasema kuwa bado taifa halina uwazi wa uchaguzi na uhuru wa kura, akidai kuwa yeye hudhulumiwa kwa kila uchaguzi