Raila atetea hatua ya kuitisha mazungumzo na Rais Ruto

  • | Citizen TV
    8,005 views

    Kinara wa azimio Raila Odinga ametetea hatua yake ya kuitisha mazungumzo na Rais William Ruto akitaja mazungumzo hayo kuwa yatakayoendeshwa na wakenya wenyewe. Akizungumza katika kaunti ya kakamega katika mazishi ya nduguye naibu kinara wa chama cha ODM Wycliffe Oparanya, Odinga amesema kuwa katika mazungumzo hayo wakenya walijitokeza kuonyesha kutokuwa na imani na bunge, serikali kuu na mahakama.