Raila atetea kampuni ya Adani kupewa kandarasi

  • | Citizen TV
    4,496 views

    Aliyekuwa Kinara wa ODM Raila Odinga ameitetea kampuni ya Adani Iiliyohusishwa na kandarasi tata ya uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta akisema ni kampuni yenye tajriba na umaarufu katika utendakazi wake. Odinga pia ameitaka serikali kuweka mikakati ya kulinda mikataba ya uwekezaji kutoka wawekezaji wakibinafsi na Umma. Na kama anavyoarifu Francis Mtalaki Odinga amekiri kuifahamu kampuni ya Adani tangu mwaka 2010.