Raila Odinga amesema yuko tayari kwa uchaguzi wa AUC

  • | Citizen TV
    3,330 views

    Huku zikisalia siku nne kabla ya uchaguzi wa mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Africa - au - kampeni za lala salama zimechacha huku mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi akisafiri hadi Addis Ababa kuungana na mgombea wa Kenya wa uenyekiti wa AUC Raila Odinga. Ushindi wa Raila umetajwa kama ambao utaiweka Kenya kwenye nafasi nzuri ya kufanya maamuzi kuhusu mwelekeo wa bara Afrika.