Rais ajaye wa COP28 ayasihi makampuni ya mafuta kukidhi malengo ya hali ya hewa kwa pamoja

  • | VOA Swahili
    139 views
    Rais ajaye wa COP28, Sultan al-Jaber, amefungua mkutano wa mwaka huu wa Umoja wa Mataifa wa hali ya hewa kwa kuzisihi nchi na makampuni ya mafuta kufanya kazi pamoja kukidhi malengo ya hali ya hewa. Serikali zinajitayarisha kwa mashauriano marefu iwapo wakubaliane, kwa mara ya kwanza, kuiondolea dunia matumizi ya makaa yanayotoa kabon dioxide, mafuta na gesi kama change kikuu cha kusbabisha hali ya joto. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.