Rais asema hatakubali taifa ligawanywe na ukabila

  • | KBC Video
    82 views

    Rais William Ruto amekariri kujitolea kwake kuhakikisha umoja humu nchini ambao hautagawanywa na siasa za kikabila. Rais ambaye anaendelea na ziara yake ya maendeleo katika eneo la Magharibi mwa Kenya aliwataka Wakenya kuwa macho dhidi ya viongozi wanaochochea siasa za migawanyiko ambazo zitatishia kuzua ghasia humu nchini. Achola simon anatuletea taarifa hiyo kwa kina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive