Rais azindua miradi ya umeme Busia

  • | KBC Video
    63 views

    Rais William Ruto amesema serikali itahakikisha wananchi wote wanapata umeme wa kutegemewa na kwa bei nafuu. Rais aliyasema haya katika eneo la Nambale, kaunti ya Busia alipozindua mradi wa usambazaji umeme katika kijiji cha Kinjavi. Zaidi ya familia elfu-20 Busia zitafaidika na mradi huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive