- 112 viewsRais Joe Biden siku ya Alhamisi amewasihi Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi wa rais wa Jumanne, ambapo Donald Trump alipata ushindi. Ameahidi kukabidhi madaraka kwa Trump, ambaye anachukua hatamu za uongozi, ambaye aliwashawishi wafuasi wake kuandamana hadi kwenye jengo la bunge wakati wajumbe walipokuwa wanarasimisha ushindi wa Biden 2020. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Rais Biden awasihi Wamarekani kukubali matokeo ya Uchaguzi | VOA Swahili
- 9 Nov 2024 - Mozambique's opposition on Friday promised fresh protests, as rights groups said at least 30 people had been killed in three weeks of demonstrations over contested election results.
- 9 Nov 2024 - Ireland's president, Michael D. Higgins, formally dissolved the country's parliament on Friday, kickstarting a three-week general election campaign that will end with voters heading to the polls on November 29.
- 9 Nov 2024 - President William Ruto has announced the creation of a new sub-county in Baringo for the minority Maa tribe - the Illchamus community.
- 9 Nov 2024 - Raila Odinga has pledged to fast-track economic transformation, enhance intra-African trade and infrastructure, financial independence, gender equity and equality, agricultural transformation and climate action if elected the Africa Union Commission…
- 9 Nov 2024 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has acquired a green light to seize over 100 residential properties grabbed in Woodley Estate in Nairobi valued at Ksh.1 billion.
- 8 Nov 2024 - The Kenyan leader will lead a high-level Kenyan delegation, including Environment Cabinet Secretary Aden Duale, in discussions centered on securing climate finance, advancing adaptation efforts, and finalizing carbon market regulations.
- 8 Nov 2024 - Three more cases of Mpox confirmed in Kenya, Health Ministry says the cases from Mombasa, Nakuru and Nairobi brings the tally to 17.
- 8 Nov 2024 - The Kenyan leader expressed optimism for Trump’s upcoming term, highlighting the importance of Kenya-U.S. collaboration on key issues such as trade, security, and good governance.
- 8 Nov 2024 - China has taken a significant step in space logistics and commercial space advancement with the introduction of low-cost cargo spacecraft, including a space cargo shuttle, tailored to meet the frequent supply needs of its space station. The China Manned…
- 8 Nov 2024 - What will Donald Trump's second stint in the White House mean for a US tech industry in the throes of an artificial intelligence frenzy? For sure Elon Musk, the world's richest person, will play a central role in Trump's Silicon Valley policies after…