Rais mstaafu Uhuru Kenyatta atoa wito kwa vijana wa kizazi cha Gen Z

  • | K24 Video
    316 views

    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa vijana wa kizazi cha Gen Z, akiwasihi wapiganie haki zao ili kulinda maisha yao ya baadaye. hii inajiri wiki chache baada ya salamu za maridhiano kati yake na Rais William Ruto na kuapishwa kwa wandani wa uhuru serikalini hii leo.