- 49,895 viewsRais-mteule wa Marekani, Donald Trump Jumatano alikwenda White House kwa mara ya kwanza baada ya miaka minne kukutana na Rais anayendoka mamlakani Joe Biden. Biden alimkaribisha Trump kwa ziara ya kawaida, kuonyesha kuwa Januari 20 kutakutwa na makabidhiano ya amani ya madaraka katika demokrasia ya Marekani kati ya kiongozi wa sasa wa Marekani na mtendaji mkuu anayeingia katika wadhifa huo. Utamaduni wa wa kumkaribisha rais anayeingia madaraka ni moja ya jambo ambalo Trump hakulifanya baada ya Biden kumshinda mwaka 2020. Mkutano wa Jumatano kati ya watu hao wawili ulikuja wakati Trump akichukua kuunda utawala wake. “Ndiyo, Bwana Rais-mteule na rais wa zamani Donald Trump, hongera sana na natazamia kRama nilivyosema, kuw na makabidhiano ya amani ya utawala. Tutafanya kila kituo tunachoweza kukidhi kile unachokihitaji na ndiyo tutapata fursa ya kuzungumza kuhusu baadhi ya mambo hayo hivi leo. Karibu, karibu tena.” “Ahsante sana. Siasa ni ngumu. Na katika nyakati nyingi, si sehemu nzuri sana katika dunia. Lakini ni dunia nzuri ya leo na nashukuru sana. Kipindi cha mpito kitakuwa hakina tatizo mambo yatakwenda vizuri na nashukuru sana kwa hilo, Joe,” amesema Rais-mteule Trump. Mke wa Rais Jill Biden alijiunga na mume wake kumklaki rais-mteule alipowasili White House. White House imesema alimpa Trump barua ya pongezi aliyomuandikia mke wake, Melania, na kuelezea kuwa timu yake iko tayari kusaidia katika kipindi cha mpito. #rais #donaldtrump #kamalaharris #wafuasi #voaelections #voaelections2024
Rais mteule Trump akutana na Rais Biden
- - MITINDO YA KIPWANI ››
- 20 Apr 2025 - An Eldoret resident has petitioned Kenya Highways Authority (KENHA) to urgently consider restricting long-distance truck trailers from passing through Eldoret town and instead mandate their use of the Eldoret Southern Bypass.
- 20 Apr 2025 - An Easter Friday disco night turned into a tragedy after two people were electrocuted to death and one other sustained serious injuries.
- 20 Apr 2025 - An Easter Friday disco night turned into a tragedy after two people were electrocuted to death and one other sustained serious injuries.
- 20 Apr 2025 - Police in Nyatike, Migori County are in search of a 62-year-old man accused of defiling his daughter aged 11 years.
- 20 Apr 2025 - A 3-year-old boy was found dead in Wich-Lum area, Siaya County on Saturday evening. The toddler is suspected to have been murdered by his father following a domestic squabble.
- 20 Apr 2025 - At least 11 people, including three children, were killed in New Delhi Saturday after a residential building collapsed on the outskirts of the Indian capital, local reports and authorities said.
- 20 Apr 2025 - The US Supreme Court, in a dramatic nighttime intervention Saturday, blocked President Donald Trump's unprecedented use of an obscure law to deport Venezuelan migrants without due process.
- 20 Apr 2025 - Pope Francis is expected to delight Catholics all over the world during Easter celebrations at the Vatican on Sunday, just weeks after he was fighting for his life in hospital while suffering from pneumonia.
- 20 Apr 2025 - Global tax plans targeting billionaires and multinational companies are running aground, with the United States torpedoing reforms under President Donald Trump.
- 20 Apr 2025 - Lissu, the runner-up in the country's 2020 presidential election, was charged with treason last week.